Kazi za uokoaji na urejeshaji hali ya kawaida zaendelea katika Mkoa wa Hubei, China baada ya kukumbwa na Kimbunga Pomboo (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 13, 2026
Kazi za uokoaji na urejeshaji hali ya kawaida zaendelea katika Mkoa wa Hubei, China baada ya kukumbwa na Kimbunga Pomboo
Wafanyakazi wakifanya shughuli za uokoaji kwa kutumia chombo cha mota katika Kijiji cha Nanwang cha Eneo la Xiangzhou, huko Xiangyang mkoani Hubei, katikati mwa China, Agosti 12, 2026. (Xinhua/Wu Zhizun)

Mvua kubwa na mafuriko yaliyosababishwa na Kimbunga Pomboo , ambacho ni kimbunga cha 13 kutokea China mwaka huu, vimekumba maeneo mengi ya mashariki na katikati mwa China. Serikali za mitaa za maeneo hayo zinafanya juhudi zote za kuondoa hatari zinazoweza kutokea na kurejesha maisha ya watu katika hali ya kawaida.

(Wahariri wa tovuti:Liu Mengxue,Zhao Jian)

Picha