

Lugha Nyingine
Jukwaa la Uchumi Duniani la Majira ya Joto la Davos 2025 laanza Tianjin, kaskazini mwa China (5)
TIANJIN – Likiwa limeanza jana Jumanne Juni 24 na kuendelea hadi Juni 26 mjini Tianjin, kaskazini mwa China, Jukwaa la mwaka huu la Uchumi Duniani la Majira ya Joto la Davos, ambalo pia linajulikana kwa jina la Mkutano wa Mwaka wa 16 wa Mabingwa Wapya wa Jukwaa la Uchumi Duniani, linafanyika chini ya kaulimbiu ya "Ujasiriamali katika Zama Mpya" na kufuatilia zaidi maeneo matano muhimu - kufafanua uchumi wa dunia, mtazamo juu ya China, viwanda vinavyojitokeza, kuwekeza kwa ajili ya binadamu na sayari ya Dunia, na nishati mpya na raslimali.
Ukumbi wa Kuutazama Mji wa “Kilele cha Tianjin” wa China wafunguliwa rasmi kwa umma
Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui
Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China
Shughuli za utalii za siku za lavender zahimiza maendeleo ya uchumi katika Mkoa wa Xinjiang, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma