Jukwaa la Uchumi Duniani la Majira ya Joto la Davos 2025 laanza Tianjin, kaskazini mwa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 25, 2025
Jukwaa la Uchumi Duniani la Majira ya Joto la Davos 2025 laanza Tianjin, kaskazini mwa China
Wageni wakihudhuria mkutano wa "Mitandao Inatengeneza Maisha" katika wakati wa Jukwaa la Uchumi Duniani la Majira ya joto la Davos 2025 kwenye Kituo cha Kitaifa cha Mikutano na Maonyesho (Tianjin) huko Tianjin, kaskazini mwa China, Juni 24, 2025. (Xinhua/Zhao Zishuo)

TIANJIN – Likiwa limeanza jana Jumanne Juni 24 na kuendelea hadi Juni 26 mjini Tianjin, kaskazini mwa China, Jukwaa la mwaka huu la Uchumi Duniani la Majira ya Joto la Davos, ambalo pia linajulikana kwa jina la Mkutano wa Mwaka wa 16 wa Mabingwa Wapya wa Jukwaa la Uchumi Duniani, linafanyika chini ya kaulimbiu ya "Ujasiriamali katika Zama Mpya" na kufuatilia zaidi maeneo matano muhimu - kufafanua uchumi wa dunia, mtazamo juu ya China, viwanda vinavyojitokeza, kuwekeza kwa ajili ya binadamu na sayari ya Dunia, na nishati mpya na raslimali. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha