

Lugha Nyingine
China yashuhudia kilele cha pilika za wasafiri wengi katika siku ya kwanza ya likizo ya Mei Mosi
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 02, 2025
![]() |
Abiria wakijiandaa kupanda treni katika Stesheni ya Reli ya Nanjing mjini Nanjing, Mkoa wa Jiangsu, mashariki mwa China, Mei 1, 2025. (Picha na Su Yang/Xinhua) |
Mtandao wa usafiri nchini China umeshuhudia kilele cha pilika za wasafiri wengi katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, ambayo imeanza rasmi jana Alhamisi, Mei Mosi na itaendelea hadi Jumatatu, wiki ijayo, Mei 5.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma