

Lugha Nyingine
China yashuhudia kilele cha pilika za wasafiri wengi katika siku ya kwanza ya likizo ya Mei Mosi (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 02, 2025
![]() |
Abiria wakisubiri kupanda treni kwenye Stesheni ya Reli ya Hongqiao mjini Shanghai, mashariki mwa China, Mei 1, 2025. (Xinhua/Wang Xiang) |
Mtandao wa usafiri nchini China umeshuhudia kilele cha pilika za wasafiri wengi katika siku ya kwanza ya likizo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, Mei Mosi, ambayo imeanza rasmi jana Alhamisi, Mei Mosi na itaendelea hadi Jumatatu, wiki ijayo, Mei 5.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma