Utandazaji njia ya reli ya mwendokasi inayounganisha Xi'an na Yan'an katika Mkoa wa Shaanxi, China wakamilika

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 02, 2025
Utandazaji njia ya reli ya mwendokasi inayounganisha Xi'an na Yan'an katika Mkoa wa Shaanxi, China wakamilika
Wafanyakazi wakifanya kazi ya ujenzi katika Stesheni ya Reli ya Yan'an mjini Yan'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China, Julai 1, 2025. (Xinhua/Zhang Bowen)

Utandazaji njia ya reli ya mwendokasi inayounganisha miji ya Xi'an na Yan'an katika Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China umekamilika rasmi jana Jumanne Julai 1, 2025. Mara baada ya kuzinduliwa, reli hiyo mpya itafupisha muda wa usafiri kati ya miji hiyo ya Xi'an na Yan'an kutoka saa 2.5 hadi saa moja hivi. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha