

Lugha Nyingine
Kituo cha mafunzo cha Bajiquan mkoani Hebei, China chakaribisha wanafunzi kutoka Russia (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 26, 2025
![]() |
Kocha akimwelekeza mwanafunzi kutoka Russia kufanya mazoezi ya Bajiquan, aina ya Kung Fu yenye nguvu, kwenye kituo cha mafunzo katika Wilaya ya Qingxian, Mji wa Cangzhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China, Juni 25, 2025. (Picha na Fu Xinchun/Xinhua) |
Kituo cha mafunzo ya Bajiquan, katika Wilaya ya Qingxian, Mji wa Cangzhou, Mkoa wa Hebei, kaskazini mwa China kimekaribisha kundi la kwanza la mwaka huu la wanafunzi wa kimataifa kutoka Russia, ambao watajifunza Bajiquan, ambayo ni aina ya Kung Fu yenye nguvu na kujionea na kuufanya kwa vitendo utamaduni wa China wa sanaa ya kupigana kujihami.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Bustani ya Kimataifa ya Pump Track ya Shenyang, China: Utambulisho Mpya wa Michezo Mjini
Ukumbi wa Kuutazama Mji wa “Kilele cha Tianjin” wa China wafunguliwa rasmi kwa umma
Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui
Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma