Lugha Nyingine
Uganda yaibuka kuwa muuzaji mkubwa zaidi nje wa kahawa barani Afrika
Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Uganda imesema, nchi hiyo imeipiku Ethiopia na kuwa muuzaji mkubwa zaidi nje wa kahawa barani Afrika.
Taarifa iliyotolea jana Jumanne na Wizara hiyo imesema, mwezi Mei Uganda ilisafirisha kuuza nje magunia 793,445 ya kahawa yenye jumla ya uzito wa tani 47,606.7, kiasi ambacho kimezidi kile cha Ethiopia, na kujipatia mapato ya dola za kimarekani milioni 243.
Taarifa hiyo imeongeza kuwa mafanikio hayo yanaonesha mabadiliko makubwa ya miundo ya biashara ya kahawa barani Afrika.

Ukumbi wa Kuutazama Mji wa “Kilele cha Tianjin” wa China wafunguliwa rasmi kwa umma
Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui
Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China
Shughuli za utalii za siku za lavender zahimiza maendeleo ya uchumi katika Mkoa wa Xinjiang, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma