Msimu wa mavuno, wavuvi wakiwa kwenye pilikapilika za kuvua samaki

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2021
Msimu wa mavuno, wavuvi wakiwa kwenye pilikapilika za kuvua samaki

Eneo la Sihong, mjini Suqian, mkoani Jiangsu, watu wanatumia maliasili“Kuzalisha umeme kwa nishati ya upepo kwenye maji, kuzalisha umeme kwa nishati ya jua maji na kufuga samaki kwenye maji”. Hali hii imetimiza kuingiza mapato ya Yuan zaidi ya milioni 2 kwa kila mita ya mraba, na kuzisaidia familia zaidi ya 200 zenye mapato ya chini kupata ajira, na kuongeza mapato ya wastani kwa kila mtu kutokana na kazi kwa zaidi ya Yuan elfu 10 kwa mwaka kwa wastani wa kila mtu.

Picha zinatoka Shirika la Habari la China Xinhua (Mpiga picha Xu Changliang)

(Wahariri wa tovuti:Li Yidan,Zhao Jian)

Picha